Mark 4:1

Mfano Wa Mpanzi

(Mathayo 13:1-9; Luka 8:4-8)

1 aIsa akaanza kufundisha tena kando ya bahari. Umati wa watu uliokuwa umekusanyika kumzunguka ulikuwa mkubwa, kiasi kwamba ilimbidi Isa aingie kwenye mashua iliyokuwa baharini na kuketi humo, nao watu wote walikuwa ufuoni mwa bahari.
Copyright information for SwhKC